TAFSIRI YA FORM YA UWANACHAMA WA BARAZA
BARAZA
LA VIJANA ZANZIBAR
Fomu
ya Maombi ya Uwanachama
Ada ya
maombi……………………………………. kama ilivyokubalika
Jaza nafasi zifuatazo
Sehemu
ya 1: Maelezo Binafsi
Jinsia (Mwanamme au
mwanamke)
Jina la mwanzo na jina
la kati
Jina la Mwisho
Kazi ya sasa
Tarehe ya kuzaliwa
(ambatanisha nakala ya cheti cha kuzaliwa)
Hali ya ndoa
Anuwani ya kudumu
S.L.P
Imail
Nambari ya simu
Nambari ya simu
Shehiya
Wilaya
Sehemu
ya 2: Maelezo ya Ziada
Kiwango cha Elimu
Kitambulisho cha
Mzanzibar/Kitambulisho cha Mtanzania au Pasipoti Nambari
(Ambatanisha nakala)
Nchi na mahala
ilipotolewa
Tarehe iliyotolewa
Tarehe ya mwisho
Wewe ni mjumbe wa
jumuiya yoyote?
Kama ndio, jina la
jumuiya hiyo na ni muda gani umejiunga?
Vipi umelisikia Baraza
la Vijana la Zanzibar na nani amekujuilisha Baraza hilo?
Kitu gani kimekuvutia
kujiunga na Baraza la Vijana Zanzibar?
Matarajio gani unayo
baada ya kukubaliwa uwanachama wako wa Baraza la Vijana la Zanzibar.
Sehemu
ya 3: Kwa Matumizi ya Afisi
Muombaji amekubaliwa
Muombaji hajakubaliwa
Sababu za kutokukubaliwa
Muombaji amelipia ada
ya kujiunga kwa Tsh
No comments:
Post a Comment