Mheshmiwa Naibu Waziri wa Vijana Sanaa,Utamaduni na Michezo Mhesmiwa
LULU MSHAMU akiwatembelea vijana wa Mabaraza ya Vijana shehia za wilaya
ya mjini wakati vijana hao wakiendelea na mafunzo kushusiana na maswala
ya Habari kupitia mradi uitwao WANAHABARI VIJANA unao simamiwa na
Taasisi ya Mwanza Youths and Children Network (MYCN).
No comments:
Post a Comment