Baraza la vijana Zanzibar lafanya
kikao na wajumbe wa mabaraza ya Vijana wilaya wakiwemo wenyeviti na makatibu kujadili muelekeo wa Baraza. Kikao hicho kilichofanyika siku ya
ijumaa tarehe 13/4/2018 chini ya mgeni
rasmi Naibu katibu Mkuu wa wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo mheshmiwa
AMOUR HAAMIL BAKAR kiliweza kutoa tathmini mzuri ya hatua kubwa iliyofikia katika
kuwaunganisha vijana na fursa mbalimbali za kiuchumi.
.
No comments:
Post a Comment