BAR


Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Thursday, 10 May 2018

MHESHMIWA WAZIRI AKUTANA NA UONGOZI WA BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR


Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo mheshmiwa Balozi Ali Karume, akiwa katika kikao cha pamoja cha utambulisho wa Baraza la Vijana Zanzibar na uongozi wa Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo (wvusm) siku ya jumanne ya tarehe 08/05/2018.

No comments:

Post a Comment