Katibu mtendaji wa Baraza la Vijana ndugu Khamis Faraji Abdalla akizungumza machache na Wajumbe wa Baraza la Watendaji wa Baraza la Vijana Zanzibar
katika Mkutano uliofanyika siku ya
Ijumaa Tarehe 5/10/2018 katika ukumbi wa Sanaa Sensa na Filamu Mwanakwerekwe.
No comments:
Post a Comment