RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA BARAZA LA VIJANA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dr. Ali Mohamed Shein, akitembelea Banda la Maonyesho la Baraza la Vijana Zanzibar katika Maadhimisho ya Kilele cha Mwenge wa Uhuru yaliyofanyika Mkoani Tanga.
No comments:
Post a Comment