Katibu Mtendaji wa Baraza la Vijana Zanzibar ndugu Khamis Faraji Abdalla (wa kwanza kulia) akizungumza na Viongozi wa Mkutano Mkuu Taifa wa Baraza la Vijana Zanzibar kuhusiana na program ya Ajira kwa Vijana na jinsi ya Viongozi hao kuweza kubuni Miradi mbalimbali itakayo wawezesha Vijana kujiajiri.
No comments:
Post a Comment