BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR LAFANYA MAFUNZO YA SIKU TANO.
Vijana kutoka Mabaraza ya Vijana Wilaya na shehia wakiwa katika mafunzo ya siku tano yalioandaliwa na Baraza la Vijana Zanzibar kwa kushirikiana na taasisi ya VSO) kwa lengo la kuwawezesha Vijana katika Stadi za Maisha,Mpango wa Biashara na mafunzo ya Uwandikaji wa Miradi.
No comments:
Post a Comment