BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR
Baraza la Vijana Zanzibar likiwa katika hatua za kutimiza wajibu wake wa kiutendaji na utekelezji wa majukumu yake mbalimbali limefanya kikao maalum cha kujadili rasimu ya kanuni ya uendeshaji wa Baraza la Vijana Zanzibar, siku ya jumamosi tarehe 28/09/2019 katika ukumbi wa mtakwimu mkuu wa Serikali uliopo Mazizini Zanzibar na kuendelea kuchukua maoni mbalimbali kutoka kwa wadau wa Vijana kwa lengo la kukamilisha mchakato huo wa upatikanaji wa Kanuni za Baraza zitakazo saidiana na sheria ya Baraza la Vijana Zanzibar .
No comments:
Post a Comment