BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR LASHIRIKI SIKU YA MISITU DUNIANI
Baraza la Vijana Zanzibar wajumuika na vijana wengine nchini kutoka katika taasisi mbalimali kuadhimisha
siku ya Misitu Duniani iliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la
zamani Zanzibar.
No comments:
Post a Comment