ZAIDI YA WATU 400 WASHIRIKI JUKWAA LA BIASHARA ZANZIBAR.
Zaidi ya watu 400 washiriki katka jukwaa la biashara lililofanyika
katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi zanzibar . Wadau mbalimbali
kutoka katka taasisi za kiserikali na Asasi a Kiraia zilishiriki kujionea fursa
nyingi za kibiashara ambazo ziliwasilishwa siku hiyo.
No comments:
Post a Comment