BAR


Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Wednesday, 14 March 2018

KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA VIJANA AKIONGEA KATIKA BUNGE LA VUJANA

Katibu mtendaji wa Baraza la vijana Zanzibar ndugu Khamis Faraji Abbdallah, akizungumza na wajumbe wa bunge la vijana katika kikao cha bunge kilichofanyika ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Katika mazungumzo yake aligusia suala la usawa la ushiriki wa wajumbe kutoka sehemu mbali mbali za shehia za Unguja na Pemba.

No comments:

Post a Comment