BAR


Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Wednesday, 14 March 2018

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Maelfu ya wananchi wahudhuria katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliyofanyika katika kijiji cha Makunduchi huko wilya ya kusni mkoa Kusini Unguja.
Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yafanyika mkoa Kusisini Unguja katika kijiji cha Makunduchi huku idadi kubwa ya akina mama wakifurahishwa sana na maadhimisho hayo.

No comments:

Post a Comment