Kijana Nassor Saleh Amour kutoka Mkoa wa Tabora, Wilaya ya Igunga ni Miongoni mwa Vijana waalikwa waliojumuika kushirikiana na Vijana wenzao wa Zanzibar kwenye Bunge
la Vijana katika maadhimisho ya Bunge la
Jumuiya ya Madola (COMMONWEALTH PARLIAMENTARY ASSOCIATION) yaliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar.
No comments:
Post a Comment