Mgeni Rasmi ambae pia ni Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhesmiwa
MGENI HASSAN JUMA akimkabidhi Afisa Uratibu na Ufuatiliaji wa Baraza la vijana Zanzibar (kulia) ndugu
Salum Issa Ameir cheti cha ushiriki wa Bunge la Vijana Zanzibar kwa niaba ya Secretariate ya Baraza la Vijana Zanzibar.
No comments:
Post a Comment