Mheshmiwa Naibu Waziri wa Vijana Sanaa,Utamaduni na Michezo Mhesmiwa LULU MSHAMU akizungumza na vijana wa Mabaraza ya Vijana shehia za wilaya ya mjini wakati vijana hao wakiendelea na mafunzo kushusiana na maswala ya Habari kupitia mradi uitwao WANAHABARI VIJANA unao simamiwa na Taasisi ya Mwanza Youths and Children Network (MYCN),
Mhesmiwa Naibu waziri aliwataka vijana hao kuwa makini katika kazi zao za uwendeshaji wa mabaraza na wasiwe ni vijana wenye kurubunika kiholela.
No comments:
Post a Comment