Katibu Mtendaji wa Baraza la vijana ndugu Khamis Faraji Abdallah (wa pili kushoto) akiliwakilisha Baraza la Vijana Zanzibar(Zanzibar Youth Council) kushiriki katika uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru uliofanyika Mkoani Geita tarehe 2/4/2018, Mgeni rasmi akiwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhesmiwa MAJALIWA KASSIM MAJALIWA.
No comments:
Post a Comment