Katibu
mtendaji wa Barazala Vijana Zanzibar Mhesmiwa Khamis Faraji Abdallah wa pili
kulia akiwa na Afisa Uratibu na Ufatiliaji wa Barazala la Vijana Zanzibar ndugu Salum Issa Ameir wa kwanza kulia katka Kongamano la kumbukumbu ya Rais wa kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa kwanza wa Baraza
la mapinduzi Hayati Sheikh ABEID
AMANI KARUME.Kongamano hilo lililo fanyika katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalim
Nyerere Zanzibar lilibeba
Mada kuu ya Mchango wa Hayati SHEIKH ABEID AMANI
KARUME katika maendeleo ya Zanzibar.
Mgeni rasmi katika kongamano hilo mheshmiwa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. ALI MOHAMED SHEIN pamoja
na baadhi ya viongozi wengine wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walio hudhuria,
waliweza kuzungumzia kwa Mukhtasar fikra na mawazo ya Hayati
SHEIKH ABEID AMANI KARUME katika suala zima ya kuyapeleka mbeleka maendeleo ya
Zanzibar.
No comments:
Post a Comment