Baraza la Vijana
Zanzibar Lashiriki katika Kongamano la kumbukumbu ya Rais wa kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa kwanza wa Baraza
la mapinduzi Hayati Sheikh ABEID
AMANI KARUME lililofanyika katika Chuo
cha Kumbukumbu ya Mwallimu Nyerere Tawi la Zanzibar amabapo mada kukuu ilikua
ni Mchango wa Hayati SHEIKH ABEID AMANI KARUME katika maendeleo ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment