Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na michezo Mheshmiwa Balozi Ali Karume akiwa katika kikao na viongozi wa Mabaaraza ya Vijana ya wilaya ya Mjini, Magharibi A na wilaya ya Magharibi B kilichofanyika kwenye ukumbi wa Baraza la Sanaa Mwanakwerekwe siku ya jumatono 23/05/2018.
No comments:
Post a Comment