MWENYEKITI WA BARAZA LA VIJANA WILAYA YA MJINI AKITOA REPORT YA UTEKELEZAJI
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wilaya ya Mjini ndugu Bilal Husssein Maulid akitoa taarifa ya Utekelezaji wa Baraza la Vijana wilaya ya Mjini katika kikao kilicho fanyika jumatono tarehe 23/05/2018 katika ukumbi wa Baraza la Sanaa Kwerekwe.
No comments:
Post a Comment