Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Mheshmiwa Balozi Ali Karume wa tatu (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Baraza la Vijana Zanzibar baada ya kumalizika kwa mkutano ulio fanyika baina ya Baraza La Vijana Taifa na Baraza la Watendaji wa Baraza la Vijana katika ukumbi wa Baraza la Sanaa Mwanakwerekwe siku ya Jumatano 27/06/2018
No comments:
Post a Comment