BAR


Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Saturday, 16 June 2018

BARAZA LA VIJANA TAIFA LAKUTANA NA KAMATI TENDAJI YA BARAZA VIJANA WILAYA YA KATI

Katibu mtendaji wa Baraza la  Vijana Zanzibar ndugu Khamis Faraji Abdalla         ( wapili kushoto ) akiwa pamoja na Naibu Katibu mkuu wa Wizara ya Vijana  Utamaduni Sanaa na Michezo katika kikao mhesmiwa Amour Hamil Bakar ( wa pili kulia) katik kikao na kamati tendaji ya Baraza la Vijana ya wilaya ya Kati  kilicho fanyika katika ofisi ya mkuu wa wilaya siku ya 14/06/2018.

No comments:

Post a Comment