Baraza la Vijana Zanzibar lafanya Mkutano Mkuu ambao
hufanyika maramoja kwa mwaka.Mkutano huo uliojadili ajenda mbalimbali zinazo husu
Mustakbali wa Baraza la Vijana Zanzibar. Mkutano ulifanyika siku ya Jumamosi tarehe
6/10/2018 katika ukumbi wa Golden Tulip Malindi .
No comments:
Post a Comment