Naibu Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Mheshimiwa
Lulu Msham Abdallah akizungumza na Wajumbe wa baraza la Vijana katika mkutano
Mkuu wa Baraza la Vijana Zanzibar uliofanyika Jumamosi 6/10/2018 katika ukumbi
wa Golden Tulip Malindi Zanzibar.
No comments:
Post a Comment