BAR


Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Wednesday, 17 October 2018

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar Ndugu Khamis Rashid Kheir(Makoti) akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Watendaji wa Baraza la Vijana Zanzibar kujadili mada mbalimbali kwa ajili ya matayarisho ya mkutano mkuu katika mkutano uliofanyika siku ya Ijumaa tarehe 05/10/2018 katika ukumbi wa Baraza la Sanaa Sensa na Filamu Mwanakwerekwe Zanzibar.

No comments:

Post a Comment