BAR


Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Wednesday, 17 October 2018


Katibu mtendaji wa Baraza la Vijana Zanzibar ndugu Khamis Faraji Abdallah akijibu hoja na kutoa ufafanuzi dhidi ya Maswali yaliyo ulizwa na Wajumbe wa Mkutano  Mkuu wa Baraza la Vijana Zanzibar juu ya Utekelezaji wa mwaka 2017/2018 na Mpango kazi wa 2018/2019 katika Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Malindi Zanzibar.

No comments:

Post a Comment