Makamo Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar ndugu Maryam Ishau Abdalla akiwasilisha mada ya Ajira kwa Vijana katika kongamano la kuadhimisha wiki ya kupambana na Umaskini Zanzibar katika Ukumbi wa Studio ya Filamu Rahaleo siku ya Alkhamis 22/11/2018
No comments:
Post a Comment