Katika kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Baraza la Vijana Zanzibar lafanya Bonanza la aina yake siku ya jumamosi 29/12/2018 katika Viwanja vya mnazi mmoja ambapo mheshimiwa Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Mheshimia Balozi Ali Karume pamoja na Viongozi wengine wa Serikali wakijumuika kwa pamoja kusherehekea siku ya Mapinduzi Matukufu.
No comments:
Post a Comment