KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR
Katibu Mtendaji w Baraza la VIjana Zanzibar ndugu Khamis Faraji Abdalla akiwakilisha Ripoti ya Baraza la Vijana Zanzibar katika Kikao na Kamati ya Kudumu ya Maendeleo ya Wanawake, Habar na Utalii ya Baraza la Wawakilishi katika Ukumbi wa studio ya Filam Rahaleo Zanzibar siku ya jumatatu Trehe 21/01/2019.
No comments:
Post a Comment