Baraza la Vijana Zanzibar likiwa katika kikao cha kufanya tathmini ya maendeleo na hatua mbalimbali zilizo fikiwa kwa miaka mitatu tangu kuundwa kwa Baraza la vijana. Kikao hicho kilichofanyika Alkhamis tarehe 30/05/2019 katika ukumbi wa Mheshimiwa Idrisa Abdulwakili Kikwajuni Zanzibar kiliwakusanya Weyeviti wa Maraza ya Vijana Wajumbe na wageni waalikwa kutoka sehemu mbalimbali .
No comments:
Post a Comment