Katibu mtendaji wa Baraza la Vijana Zanzibar ndugu Kahmis Faraji Abdalla wa Pili (kushoto) na Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo mheshmiwa Amour Hamil Bakar wa tatu (kulia) wakiwa Katika picha ya pamoja na viongozi wa Baraza la vijana wilaya ya Kusini Katika kikao kilicho fanyika ofisi ya mkuu wa wilaya ya Kusini Unguja siku ya ijumaa 25/5/2018
No comments:
Post a Comment